Simba queens yaondolewa kuwania nafasi kucheza cafcl upande wa wanawake

Simba queens yaondolewa kuwania nafasi kucheza cafcl upande wa wanawake

Fowadi wanatokea Kenya,Nahisi uzalendo ulihamia kwa ndugu zao.
Na Kipa yani team haikuwa na muunganiko kabisa Mgunda kasema alaumiwe yeye ila si tutaenda na Mangungu maana mda umefika
 
Fowadi wanatokea Kenya,Nahisi uzalendo ulihamia kwa ndugu zao.
Hili neno linafikirisha sana. Najua mpira una matokeo matatu ila ila.....
Kipa hapana aisee Bora aliyeingia baada ya kujivunja uongo
Sipendi kupakazia mtu bila ushahidi ila pia napenda kuwa huru kusema yaliyo moyoni maana tumeumbwa kuwa na kitu wanaita "intuition" yaani uwezo wa kuhisi kitu kwa haraka bila kufikiri.

Nilivyoona wachezaji wale wa Yanga wanakuja Simba, pamoja na kwamba yule mnaija ananivutiaga sana, kuna jambo lilicross moyo wangu ila nikaliweka pembeni.
 
Back
Top Bottom