Sipendi kupakazia mtu bila ushahidi ila pia napenda kuwa huru kusema yaliyo moyoni maana tumeumbwa kuwa na kitu wanaita "intuition" yaani uwezo wa kuhisi kitu kwa haraka bila kufikiri.
Nilivyoona wachezaji wale wa Yanga wanakuja Simba, pamoja na kwamba yule mnaija ananivutiaga sana, kuna jambo lilicross moyo wangu ila nikaliweka pembeni.