Nusu fainali uhakika
How?Points 13 alizo nazo Simba dhidi ya wapinzani wake wenye points 9 zitambeba sana
subiriHow?
Soka haiko hivyo ndugu! Hapo hakuna timu dhaifu!Points 13 alizo nazo Simba dhidi ya wapinzani wake wenye points 9 zitambeba sana
Hamjaanza hizi ramli leo, tangu enzi za Plateau ya Nigeria tulizisikia na wengine wakaahidi kutembea uchi. Hapa tunazungumzia kuingia nusu fainali, wewe unazungumzia ubingwa! Upo nje ya mada kabisa. Esperance watamalizana mapema tu na Ahly robo fainali, Simba amewafanyia kitu kibaya sana maana amewalazimisha wababe wakutane mapema kwa kumuacha Ahly nafasi ya piliHizo timu zote zilizofuzu.. bingwa anaenda kuwa esperence... kama unabisha tunza hii comment
Hao jamaa beki zao mbovu mapema tuu anatolewaHizo timu zote zilizofuzu.. bingwa anaenda kuwa esperence... kama unabisha tunza hii comment
habari ya point imeishia hapo kinachofuata ni mtoano. fafanua vizuriPoints 13 alizo nazo Simba dhidi ya wapinzani wake wenye points 9 zitambeba sana
Hamjaanza hizi ramli leo, tangu enzi za Plateau ya Nigeria tulizisikia na wengine wakaahidi kutembea uchi. Hapa tunazungumzia kuingia nusu fainali, wewe unazungumzia ubingwa! Upo nje ya mada kabisa. Esperance watamalizana mapema tu na Ahly robo fainali, Simba amewafanyia kitu kibaya sana maana amewalazimisha wababe wakutane mapema kwa kumuacha Ahly nafasi ya pili
Umeongea vizuri mkuu na kila mtu anapaswa kuheshimu mawazo ya mwingine Ila sidhani kama uko sahihi kusema kama unabisha save hii comment, kubashiri inabaki kuwa kazi ngumu kuliko zote hasa kwenye mpira, me naweza kusema pia esperence anaweza kuwa bingwa Ila sio Kwa kukazia namna hiyo maana ata mie ningesema kuwa "Simba anaenda kuongoza kundi lake kama unabisha save hii comment" we ungejibu vp hii comment?Hongereni simb.. ndani ya misimu mitatu inayofatana mmefika robo fainali mara mbili... esperence ndani ya misimu mitatu hiyo hiyo mliyofika robo ametwaa ubingwa mara 2.. na timu ni ile ile haijabadilika.. why kwenye prediction mtu akiwapa nafasi ya kuwa mabingwa tena wewe unakasirika... kwenye comment ile sijaiponda timu yeyote.. nimeweka prediction yangu. Ila wewe unakasirika huku kuna timu 7 sijazipa nafasi ya ubingwa.. why wewe mmoja ujistukie