Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

Hizo timu zote zilizofuzu.. bingwa anaenda kuwa esperence... kama unabisha tunza hii comment
Hao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
 
Hao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
Kwenye ligi Yao wao ndio wanaongoza ligi wamecheza michezo 19, Kwa kifupi kuanzia hatua ya makundi kulikuwa hakuna team ambayo kwenye ligi Yao imesimama kisa Corona

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sasa ndio kubashiri gani huko, Yani utabirie timu 4 kushinda ubingwa unakoseaje sasa, Yani Kwa mfano useme eti asipochukua ubingwa Madrid,bayan,psg,man city unitag unaona ina make sense kweli? Sasa bingwa asipotoka Kati Yao atatoka wapi, we sema bingwa labda atakuwa Fulani mambo ya kujaza team 4 eti unabashiri ni ajabu

Moja wapo, ila nafasi kubwa nampa Wydad
 
Kwa upande wangu ningetamani Simba apewe kaizer chiefs, hawa jamaa uwezo wao ni kawaida compared na team zingine zilizovuka stage ya makundi, Kwanza hawana uzoefu kulinganisha na team zingine lakini pia hawana wachezaji hatari kama team zingine, japokuwa walipata ushindi dhidi ya Waydad ila hiyo haiondoi maana ya kwamba wao ndo kila mtu anawatamani

Hatua inayofata hao jamaa wa ngozi nyeupe (warabu) ukitoa mamelodi, warabu ni hatari Sana, wanaijua vizuri sana hii michuano lakini pia Wana mbinu nyingi Sana za kushinda hizi mechi kubwa, Ila Kwa kaizer chief yule Simba anammudu vizuri tu, kuanzia Hali za hewa kwao na bongo, mida ya game za kwao na kwetu almost the same, Simba at least anatakiwa kukutana na mwarabu nusu fainali ila akikutana nae robo kibarua kinaenda kuwa kigumu
Mkuu mtoano hauna kibonde,ukiotewa umekaa.Hapo tukutane na yeyote yule hakuna kuogopa
 
Hakunaga kutabiri Kwa namna hiyo mkuu, mfano ligi yetu ina timu 18 alafu useme Kati ya Yanga,Simba na Azam ndio atapatikana bingwa japokuwa umeacha timu zingine 15 Ila Huo utabiri utakuwa ni wa ajabu

Haya mkuu Anigrain, wacha tuwait.
 
Hao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
Ligi kusimama kwa ajili ya corona. sababu hiyo hutolewa na utopolo. Ligi karibu zote Afrika zinaendelea kama kawaida na zipo ukingoni, na baadhi tayari mabingwa wameshaanza kupatikana
 
Back
Top Bottom