Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Horoya alikuwa vizuri sana sema ndio hivyo head to head imemtoa.Kibonde hapo ni kaizer chiefs
Kifupi simba akipangwa na timu yoyote ya Algeria njia ni nyeupe kabisa kwenda semi finalPoa mkuu, muda utaongea [emoji3]
Haitatokea mwendo huu mpaka finaliYeyote Sawa tu cha msingi Simba ifungwe na kutolewa tu!
Kaizer chief anabahati sana [emoji3] draw ya jana imemsaidia abakie,,,mchezaji wa zamalek kanickitisha mno jana baada ya game kuisha kwa ushindi wa goli 4-1 akauliza matokeo ya kaizer na horoya akaambiwa, aise mshkaji aliishiwa nguvu walijua washapita.
Umemjibu vizuri sana,,, Esperance na simba wapi na wapi ni mbingu na ardhi.
Amempiga Mamelodi aliyekuwa ameweka kikosi B.
Soma vigezo ni Hivyo kwa mfuatanoSijaelewa kwanini Kaizer Chiefs amekuwa nafasi ya Pili na Siyo Horoya mwenye Goal difference nzuri. Maana game zao zote walivyokutana wamesuluhu kama head to head ni sababu
Ni kanuni za mashindano ndivyo zilivyowekwa kabla ya michuano hii kuanza. Ni kwamba kanuni za mwaka huu za CAF CL zinasema timu itaangaliwa yenye points nyingi, zikilingana inaangaliwa Head To Head (H2H), kwamba mlipokutana nyie wawili mnaolingana, nani alimzidi mwenzake points, mkilingana inaangaliwa nani alimzidi mwenzake magoli, mkilingana inaangaliwa nani ana magoli mengi ugenini katika mechi zenu mlipokutana wawili tu, mkilingana ndio wanatoka nje ya H2H, wanaangalia goal difference ya ujumla ya mechi zenu kundi zima, na kadhalika.Sijaelewa kwanini Kaizer Chiefs amekuwa nafasi ya Pili na Siyo Horoya mwenye Goal difference nzuri. Maana game zao zote walivyokutana wamesuluhu kama head to head ni sababu
Ulicheki game yao na Mamelodinya kwanza Taifa akadungwa bao 5-1?Pamoja na yote hayo usishangae akabeba, nimewacheki wako fire. wana umoja, akili na nguvu. Kama ulicheki game yao na mamelody akamdundwa goli 2-0.
Hapana Bro/Sis kuwa mshindi wa pili haimaanishi hajui soka,kwa hiyo Al Ahly Ni nyanya? Hapana.Nusu fainali uhakika
Mfano hapo mchezaji wa zamalek kwanin afuatilie matokeo ya Horoya na Kaize chief wakati kundi lao alikuwepo Esperance, Mc Alger na Teungueth
Mbingu na Ardhi kwa Esperance hii hii ya moroco ambayo ina CAF trophy Victor 4 na moja ya kupewa
Team kubwa Africa ni Al Ahly na Zamalek so far japo zamalek katoka ila roho yako mbaya imefanya umpe simba 40% ya kuchukua kombe tena umemuweka wa 7; yaani vibonde belouizdad na Mc Alger umewapa mpaka 80% m nyie yanga achen ujinga na sasa mui judge ligi ya VPL huku mambo yamewashindaView attachment 1749225
Ulicheki game yao na Mamelodinya kwanza Taifa akadungwa bao 5-1?
Hiyo ya 2019 Wydad Casablanca walifanyiwa figisu hadi wakatoa timu uwanjani, hivyo Esperance akapata ushindi wa mezani, msimu huu Esperance timu yao haikuwa na matokeo mazuri kwenye viwanja vya ugenin tofauti na mismu miwili iliyopita.
Sasa kwann ndugu yangu huipendi simba sababu Mimi ni shabiki wa simba lakini kama ningekua Yanga kiukweli ningekua naogopa hata kuiongelea vibaya simba, msimu wa mwaka juzi tunatinga robo fainali kiukweli tulipambana na bahati ilikua upande wetu sababu tulikua hatuna wachezaji imagine kuna mda Rashid Juma alianza first eleven au Dilunga alikua mchezaji tegemeziAsante kunisahihisha mkuu,, nilipitiwa.
Jamaa niliona kama ameuliza hivi, baada ya kujibiwa akatikisa kichwa.
Esperance ni from tunis na co morocco
AgreedKabla ya group stage ilikuwapopreliminary na first round, nayo iliendeshwa kwa utaratibu wa knock out