Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Hao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sanaHizo timu zote zilizofuzu.. bingwa anaenda kuwa esperence... kama unabisha tunza hii comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sanaHizo timu zote zilizofuzu.. bingwa anaenda kuwa esperence... kama unabisha tunza hii comment
Haiwezi kua sawa kivipi! Imeongoza kundi afu unasema haiwezi kua sawaHao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
Kwenye ligi Yao wao ndio wanaongoza ligi wamecheza michezo 19, Kwa kifupi kuanzia hatua ya makundi kulikuwa hakuna team ambayo kwenye ligi Yao imesimama kisa CoronaHao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
Mkuu sasa ndio kubashiri gani huko, Yani utabirie timu 4 kushinda ubingwa unakoseaje sasa, Yani Kwa mfano useme eti asipochukua ubingwa Madrid,bayan,psg,man city unitag unaona ina make sense kweli? Sasa bingwa asipotoka Kati Yao atatoka wapi, we sema bingwa labda atakuwa Fulani mambo ya kujaza team 4 eti unabashiri ni ajabu
Hakunaga kutabiri Kwa namna hiyo mkuu, mfano ligi yetu ina timu 18 alafu useme Kati ya Yanga,Simba na Azam ndio atapatikana bingwa japokuwa umeacha timu zingine 15 Ila Huo utabiri utakuwa ni wa ajabuMoja wapo, ila nafasi kubwa nampa Wydad
Mkuu mtoano hauna kibonde,ukiotewa umekaa.Hapo tukutane na yeyote yule hakuna kuogopaKwa upande wangu ningetamani Simba apewe kaizer chiefs, hawa jamaa uwezo wao ni kawaida compared na team zingine zilizovuka stage ya makundi, Kwanza hawana uzoefu kulinganisha na team zingine lakini pia hawana wachezaji hatari kama team zingine, japokuwa walipata ushindi dhidi ya Waydad ila hiyo haiondoi maana ya kwamba wao ndo kila mtu anawatamani
Hatua inayofata hao jamaa wa ngozi nyeupe (warabu) ukitoa mamelodi, warabu ni hatari Sana, wanaijua vizuri sana hii michuano lakini pia Wana mbinu nyingi Sana za kushinda hizi mechi kubwa, Ila Kwa kaizer chief yule Simba anammudu vizuri tu, kuanzia Hali za hewa kwao na bongo, mida ya game za kwao na kwetu almost the same, Simba at least anatakiwa kukutana na mwarabu nusu fainali ila akikutana nae robo kibarua kinaenda kuwa kigumu
Hakunaga kutabiri Kwa namna hiyo mkuu, mfano ligi yetu ina timu 18 alafu useme Kati ya Yanga,Simba na Azam ndio atapatikana bingwa japokuwa umeacha timu zingine 15 Ila Huo utabiri utakuwa ni wa ajabu
Ligi kusimama kwa ajili ya corona. sababu hiyo hutolewa na utopolo. Ligi karibu zote Afrika zinaendelea kama kawaida na zipo ukingoni, na baadhi tayari mabingwa wameshaanza kupatikanaHao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
Issue sio Kuwait issue ni wewe kubashiri timu moja ambayo unahisi itakuwa bingwa, sa wewe unalist timu 4 mkuu unazani nani atakosea hapoHaya mkuu Anigrain, wacha tuwait.
Issue sio Kuwait issue ni wewe kubashiri timu moja ambayo unahisi itakuwa bingwa, sa wewe unalist timu 4 mkuu unazani nani atakosea hapo
Atatolewa na SimbaWydad bingwa[emoji123]
Atatolewa na Simba
Na hivi mechi yenyewe inaanzia ugenini , Simba final safari hii anafika
Hapo Sawa mkuu, Acha tusubiriWydad bingwa[emoji123]
Mamelody anachukua hii kituWydad bingwa[emoji123]
Mamelody anachukua hii kitu
Hapo Sawa mkuu, Acha tusubiri