Simba rudini kwenye drawing board, Management ijiuzulu

Simba rudini kwenye drawing board, Management ijiuzulu

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Try again. Mangungu na Imani first thing first Waanze kuondoka kabla ya J3.

Baada ya hapo iundwe management ya mpito na kisha kurudi kwenye drawing board .

Aidha iundwe tume ya UCHUNGUZI kuchunguza ni CRITERIA gani zilitumika kuwaondoa kina Phiri, Baleke na Criteria gani zilizotumika kuleta wale jamaa weusi., kuna harufu ya RUSHWA.

Pia, Wote waliohusika na USAJILI yaani kamati ya USAJILI, kamati nzima ya USAJILI kuna harufu ya rushwa inatakiwa KUCHUNGUZWA.

Kuweka wazee kwenye Ofisi huwa sio kitu kizuri sana maana wanamajukumu mengi na wanataka kuzeeka vema. Wekeni Young people kwenye management.

Mimi kwangu yanga sio timu yenye Class football bali wanajua namna ya kuplay aggressive game na kupiga counter attack za chap chap, non stop, huu mtego ukiteguliwa, Yanga inakuwa haina impact kwa timu nyingi. Azam walilijua hili.

Ni mambo ya aibu Engeneer kijana mdogo anamlala Try again, Mangungu na Imani mara mbili mfululizo.

SSC kama ingekuwa na wachezaji wale waliokuwa wanasajiliwa na Hans Pop, hakika goli 5 zingerudi leo , magoli yote yaliyofungwa na Yanga ni ujanja na technically ni uzembe wa Simba kuzubaa zubaa eneo lao, utasema ni beki za Ihefu.

Mangungu Try again na Imani sitegemei wawe ni sehemu ya Management tena. Proven failure
 
Try again. Mangungu na Imani first thing first Waanze kuondoka kabla ya J3.

Baada ya hapo iundwe management ya mpito na kisha kurudi kwenye drawing board...
1) class football ni mpira wa aina gani?

2) Mangungu na Try again kosa lao ni lipi?

3) Azam sio kwamba walitegua mtego wa Yanga bali Yanga walikutana na Azam kwa kipindi kibaya wakiwa wana focus Kwenye mechi kubwa ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi.

Na advantage nyingine ni kuumia kwa Yao na Pacome kwenye mchezo huo huku tayari Aucho alikwishakuwa ni majeruhi.
 
1) class football ni mpira wa aina gani?
2) Mangungu na Try again kosa lao ni lipi?
3) Azam sio kwamba walitegua mtego wa Yanga bali Yanga walikutana na Azam kwa kipindi kibaya wakiwa wana focus Kwenye mechi kubwa ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi. Na advantage nyingine ni kuumia kwa Yao na Pacome kwenye mchezo huo huku tayari Aucho alikwishakuwa ni majeruhi.
Yanga walifungwa na Fei Toto mengine mbwembwe.
 
Kuna uzi humu wa derby jana nilitabiri Yanga kushinda goli mbili na moja ni la Ki Aziz. Hilo limetimia, kama ambavyo mechi ya awali nilitabiri goli 5 - 0 kolowizard wakapata goli moja.

Tatizo la Simba ni kudharau comments zetu mashabiki, maana mpira ni mchezo wa wazi, sote tunaona na tunaweza kusema nini kitatokea.

Tumesema wazi simba hii haichezi mpira bali inachezea mpira, haina fomesheni, haina morali. Ni timu kubwa iliyopoteza mwelekeo, na sasa inahitaji kufumuliwa na viongozi wote kuachia viti wengine .
 
Upuuzi mtupu umeandika hapa. Hao viongozi ndio wanaocheza? Au umepata malalamiko ya wachezaji kuwa huduma wamekosa? Kubali msimu haukua mzuri, watu wajipange kwa yajayo.
 
1) class football ni mpira wa aina gani?
2) Mangungu na Try again kosa lao ni lipi?
3) Azam sio kwamba walitegua mtego wa Yanga bali Yanga walikutana na Azam kwa kipindi kibaya wakiwa wana focus Kwenye mechi kubwa ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi. Na advantage nyingine ni kuumia kwa Yao na Pacome kwenye mchezo huo huku tayari Aucho alikwishakuwa ni majeruhi.

Dah [emoji38], Sawa
 
Upuuzi mtupu umeandika hapa. Hao viongozi ndio wanaocheza? Au umepata malalamiko ya wachezaji kuwa huduma wamekosa? Kubali msimu haukua mzuri, watu wajipange kwa yajayo.
Nafikiri wewe ndo huna akili, hao wachezaji wanaletwa na kuchaguliwa na nani? Mafanikio Soka ni uongozi na uwekezaji.
 
Kubadilisha badilisha uongozi ni tatizo
 
Yanga walifungwa na Fei Toto mengine mbwembwe.
Ni kweli kabisa na hii ndio halisi hadi sasa kwa timu iliyofungwa na Fei toto
IMG_20240420_194250.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
1) class football ni mpira wa aina gani?
2) Mangungu na Try again kosa lao ni lipi?
3) Azam sio kwamba walitegua mtego wa Yanga bali Yanga walikutana na Azam kwa kipindi kibaya wakiwa wana focus Kwenye mechi kubwa ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi. Na advantage nyingine ni kuumia kwa Yao na Pacome kwenye mchezo huo huku tayari Aucho alikwishakuwa ni majeruhi.
Tulia try agein doz iingiee
 
Uchambuzi mzuri

Ila hizi klabu za Yanga na Simba hata usijipe muda sana kuzichambua

Zina misimu yake mmoja kumtawala mwenzake ni suala la muda utasikia Yanga wamekuwa mdebwedo na migogoro

Mfano ni ile misimu 4 Simba ananyanyua kombe la ligi kuu mfululizo
 
Yanga kuwa mdebwedo ni hadi Eng Hersi kujitoa na hiyo bado sana, hiyo ni ndoto.

Nakumbuka nilipata bahati ya kukaa kikao mimi na wenzangu tukazungumza na Eng nikagundua ni mtu makini sana na hana mbambamba na hana uswahili yuko kikazi sana, ni mtu smart sana, Simba watalia sana muda wote huyu mwamba akiwa kwenye kiti Yanga.

Hivi ni mwaka gani Simba waliifunga Yanga ndani nje?
 
Back
Top Bottom