Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
- Thread starter
- #21
Yanga kuwa mdebwedo ni hadi Eng Hersi kujitoa na hiyo bado sana, hiyo ni ndoto.
Nakumbuka nilipata bahati ya kukaa kikao mimi na wenzangu tukazungumza na Eng nikagundua ni mtu makini sana na hana mbambamba na hana uswahili yuko kikazi sana, ni mtu smart sana, Simba watalia sana muda wote huyu mwamba akiwa kwenye kiti Yanga.
Hivi ni mwaka gani Simba waliifunga Yanga ndani nje?
Wakati Yanga haipo vema , Injinia alikuwepo
Sajili za SSC na Yanga sio za ki scientifique
Huwa ni kubahatisha
Tutoe tena msimu ujao tuone hii sustainability kama ni real
Kuna msimu SSC ilisema hata aje barcelona