Simba rudini kwenye drawing board, Management ijiuzulu

Simba rudini kwenye drawing board, Management ijiuzulu

Yanga kuwa mdebwedo ni hadi Eng Hersi kujitoa na hiyo bado sana, hiyo ni ndoto.

Nakumbuka nilipata bahati ya kukaa kikao mimi na wenzangu tukazungumza na Eng nikagundua ni mtu makini sana na hana mbambamba na hana uswahili yuko kikazi sana, ni mtu smart sana, Simba watalia sana muda wote huyu mwamba akiwa kwenye kiti Yanga.

Hivi ni mwaka gani Simba waliifunga Yanga ndani nje?

Wakati Yanga haipo vema , Injinia alikuwepo

Sajili za SSC na Yanga sio za ki scientifique
Huwa ni kubahatisha

Tutoe tena msimu ujao tuone hii sustainability kama ni real

Kuna msimu SSC ilisema hata aje barcelona
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpg
 
Try again. Mangungu na Imani first thing first Waanze kuondoka kabla ya J3.

Baada ya hapo iundwe management ya mpito na kisha kurudi kwenye drawing board .

Aidha iundwe tume ya UCHUNGUZI kuchunguza ni CRITERIA gani zilitumika kuwaondoa kina Phiri, Baleke na Criteria gani zilizotumika kuleta wale jamaa weusi., kuna harufu ya RUSHWA.

Pia, Wote waliohusika na USAJILI yaani kamati ya USAJILI, kamati nzima ya USAJILI kuna harufu ya rushwa inatakiwa KUCHUNGUZWA.

Kuweka wazee kwenye Ofisi huwa sio kitu kizuri sana maana wanamajukumu mengi na wanataka kuzeeka vema. Wekeni Young people kwenye management .

Mimi kwangu yanga sio timu yenye Class football bali wanajua namna ya kuplay aggressive game na kupiga counter attack za chap chap, non stop, huu mtego ukiteguliwa, Yanga inakuwa haina impact kwa timu nyingi. Azam walilijua hili.

Ni mambo ya aibu Engeneer kijana mdogo anamlala Try again, Mangungu na Imani mara mbili mfululizo.

SSC kama ingekuwa na wachezaji wale waliokuwa wanasajiliwa na Hans Pop, hakika goli 5 zingerudi leo , magoli yote yaliyofungwa na Yanga ni ujanja na technically ni uzembe wa Simba kuzubaa zubaa eneo lao, utasema ni beki za Ihefu.

Mangungu Try again na Imani sitegemei wawe ni sehemu ya Management tena. Proven failure
Hapo atafukuzwa kocha mkuu tuuu
 
Yanga kuwa mdebwedo ni hadi Eng Hersi kujitoa na hiyo bado sana, hiyo ni ndoto.

Nakumbuka nilipata bahati ya kukaa kikao mimi na wenzangu tukazungumza na Eng nikagundua ni mtu makini sana na hana mbambamba na hana uswahili yuko kikazi sana, ni mtu smart sana, Simba watalia sana muda wote huyu mwamba akiwa kwenye kiti Yanga.

Hivi ni mwaka gani Simba waliifunga Yanga ndani nje?
Klabu zote duniani huwa zinapitia kipindi cha mpito hata kama zilikuwa kwenye ubora gani haijalishi uongozi uliopo
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.View attachment 2969381

Oya hii SMS huwa unatunzaga kwenye simu; mbona kama ni aina nyingine ya Afya ya akili
 
Kwa mkapa hatoki mtu mpaka muda huu Mangungu na try again bado wapo uwanjani mashabiki wamezuia geti uwanja wote hakuna sehemu ya kutokea
 
Back
Top Bottom