Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Try again. Mangungu na Imani first thing first Waanze kuondoka kabla ya J3.
Baada ya hapo iundwe management ya mpito na kisha kurudi kwenye drawing board .
Aidha iundwe tume ya UCHUNGUZI kuchunguza ni CRITERIA gani zilitumika kuwaondoa kina Phiri, Baleke na Criteria gani zilizotumika kuleta wale jamaa weusi., kuna harufu ya RUSHWA.
Pia, Wote waliohusika na USAJILI yaani kamati ya USAJILI, kamati nzima ya USAJILI kuna harufu ya rushwa inatakiwa KUCHUNGUZWA.
Kuweka wazee kwenye Ofisi huwa sio kitu kizuri sana maana wanamajukumu mengi na wanataka kuzeeka vema. Wekeni Young people kwenye management.
Mimi kwangu yanga sio timu yenye Class football bali wanajua namna ya kuplay aggressive game na kupiga counter attack za chap chap, non stop, huu mtego ukiteguliwa, Yanga inakuwa haina impact kwa timu nyingi. Azam walilijua hili.
Ni mambo ya aibu Engeneer kijana mdogo anamlala Try again, Mangungu na Imani mara mbili mfululizo.
SSC kama ingekuwa na wachezaji wale waliokuwa wanasajiliwa na Hans Pop, hakika goli 5 zingerudi leo , magoli yote yaliyofungwa na Yanga ni ujanja na technically ni uzembe wa Simba kuzubaa zubaa eneo lao, utasema ni beki za Ihefu.
Mangungu Try again na Imani sitegemei wawe ni sehemu ya Management tena. Proven failure