Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Zile sita bila mlifungwa na Cosmo Politan??Ulikuwa hujui wewe tu,simba ni kelele tu kwa yanga hana ujanja.
Yaaani hadi anaowadhamini hawaamini daaaah m bet bwana[emoji3][emoji3]Bora hao wengine muhindi wa m-bet ana madharau kabisa
Daah.. japo Simba ni chama langu ila nimeshangaa sana walivo tu underrate.. yaani mafanikio yetu tunavopasua anga la kimataifa na kuongoza ligi kumbe sio kitu Kwa Yanga tunaonekana ni mdebwedo tuUlikuwa hujui wewe tu,simba ni kelele tu kwa yanga hana ujanja.
Sasa chukulia hiyo kama fursa, assume kama muhindi hayajui mahesabu mbetie Yanga afu baada ya mchezo mi nitakuwepo hapa kukufarijiYaaani hadi anaowadhamini hawaamini daaaah m bet bwana
Sasa wewe jichanganye mpe YangaPamoja na timu ya Simba kufanikiwa kuingia hatua ya makundi CAFCL, kuongoza msimamo wa NBC Premier League, lakini nimeshangaa tovuti zote za kubeti zimewaweka Simba kwenye nafasi ya kufungwa mechi ya kesho dhidi ya Yanga.
Je hii ina maana gani?
Kuwa Simba ni underdog kwa Yanga?View attachment 2394587View attachment 2394589View attachment 2394590
Toa hiyo alama ya kuuliza kwenye kichwa chako cha habari ili upate jibu sahihi.Pamoja na timu ya Simba kufanikiwa kuingia hatua ya makundi CAFCL, kuongoza msimamo wa NBC Premier League, lakini nimeshangaa tovuti zote za kubeti zimewaweka Simba kwenye nafasi ya kufungwa mechi ya kesho dhidi ya Yanga.
Je hii ina maana gani?
Kuwa Simba ni underdog kwa Yanga?View attachment 2394587View attachment 2394589View attachment 2394590
Kwaio muhindi anataka kutuingiza Cha kike??
Mleta mada aone hapo [emoji115]atajua muhindi anataka kufanya nini.
Anajua kabisa watu wataweka pesa kwa uto halafu yeye avuneKwaio muhindi anataka kutuingiza Cha kike??