Simba S.C ni underdog kwa Yanga S.C?

Simba S.C ni underdog kwa Yanga S.C?

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Pamoja na timu ya Simba kufanikiwa kuingia hatua ya makundi CAFCL, kuongoza msimamo wa NBC Premier League, lakini nimeshangaa tovuti zote za kubeti zimewaweka Simba kwenye nafasi ya kufungwa mechi ya kesho dhidi ya Yanga.

Je hii ina maana gani?

Kuwa Simba ni underdog kwa Yanga?
Screenshot_20221022-141350.jpg
Screenshot_20221022-141408.jpg
Screenshot_20221022-141507.jpg
 
Mambo ya kibiashara hayo, wewe ipe utopolo ushindi utafurahi baada ya dk 90
 
Yaaani hadi anaowadhamini hawaamini daaaah m bet bwana
emoji3.png
emoji3.png
Sasa chukulia hiyo kama fursa, assume kama muhindi hayajui mahesabu mbetie Yanga afu baada ya mchezo mi nitakuwepo hapa kukufariji
 
Ingependeza zaidi kama huu Utopolo ungeulizana na mazwazwa wenzako wa Utopolo.
 
Back
Top Bottom