Mkuu ebu jaribu kua sirias hata kidogo yaan unaifananisha yanga na timu ya mchangani??Yanga wataisoma namba
Subiri ligi ianze hasira zetu tunazimalizia kwenSawa Wakimataifa Uchwara.
Ndo kawaida yenu hiyo mwanzoni mnaanza kwa mbwembwe wenyewe ligi ikichanganya tu mnapoteanaNasikia Jumamosi mnacheza na Mtibwa.. Ni heri mngezimaliza tu mapema.. Kabla ligi haijaanza, maana msimu huu tunarudi nafasi yetu.
shaffihdauda.co.tz/2016/08/03/simba-yachezea-kichapo-morogoro/
Acha hizo bana...
Mkuu...unajua mimi hua sipendi unafiki...hawa kina sembo na uongozi wao ndio waliopeleka Bulldozer Bunju siku moja kabla ya kikao ili kuwalaghai wanachama wa Simba......
Na ni hawahawa hawataki transformation ya timu kwa maslahi yao binafsi...kwa hio wanajaribu kuonesh kuwa simba iliyopo morogoro ni boooooooraaaaaa saaaaaana kwa sasa ilihali sivyo...wanatuletea zile habari za kushinda tu...watuletee na zingine
Lazima tukubaliane kuwa timu yetu ni mbovu na tutoe muda ili kurudi kwenye form......Tuuseme ukweli hata kama unauma
Unafiki kitu kibaya sana
Wamefuatilia ili kuijua vizuri klabu ya Simba.. Wakapata taarifa kuwa ni timu ya mchangani na wala si ya Kimataifa...Interclub nayo yachomoa kuja mbadala wake ni AFC Leopards