Simba S.C yashusha kipigo kizito tena Leo.. Wapinzani kaeni Chonjo.

Simba S.C yashusha kipigo kizito tena Leo.. Wapinzani kaeni Chonjo.

Subiri ligi ianze hasira zetu tunazimalizia kwen
Nasikia Jumamosi mnacheza na Mtibwa.. Ni heri mngezimaliza tu mapema.. Kabla ligi haijaanza, maana msimu huu tunarudi nafasi yetu.
 
Nasikia Jumamosi mnacheza na Mtibwa.. Ni heri mngezimaliza tu mapema.. Kabla ligi haijaanza, maana msimu huu tunarudi nafasi yetu.
Ndo kawaida yenu hiyo mwanzoni mnaanza kwa mbwembwe wenyewe ligi ikichanganya tu mnapoteana
 
Ndo kawaida yenu hiyo mwanzoni mnaanza kwa mbwembwe wenyewe ligi ikichanganya tu mnapoteana
Mkuu.. Huu ni msimu ni wa MABADILIKO katika Simba MABADILIKO.. Hivyo yale ya misimu minne iliyopita, imebaki Story.
 
Matokeo ya simba na kinondoni municipal mbona uweki mkuu sembo?
 
Interclub nayo yachomoa kuja mbadala wake ni AFC Leopards
 
HONGERENI MIKIA NASUBIRI PALE MTAPOMPA KIPONDO RAIS WA MIKIA BW AVEVA MAANA KWA TRIAL HIZI HAHAHA MIKIA ITALIA TENA
 
ImageUploadedByJamiiForums1470246199.169091.jpg

Kwiiiii kwiiii kwa mwendo huu acha tuendelee tu sisi kaka zetu nyie bakieni home mkune nazi.
 
Acha hizo bana...

Mkuu...unajua mimi hua sipendi unafiki...hawa kina sembo na uongozi wao ndio waliopeleka Bulldozer Bunju siku moja kabla ya kikao ili kuwalaghai wanachama wa Simba......

Na ni hawahawa hawataki transformation ya timu kwa maslahi yao binafsi...kwa hio wanajaribu kuonesh kuwa simba iliyopo morogoro ni boooooooraaaaaa saaaaaana kwa sasa ilihali sivyo...wanatuletea zile habari za kushinda tu...watuletee na zingine

Lazima tukubaliane kuwa timu yetu ni mbovu na tutoe muda ili kurudi kwenye form......Tuuseme ukweli hata kama unauma

Unafiki kitu kibaya sana
 
Mkuu hizi siasa za, kupeleka Bulldozer Bunju siku moja kabla ya Mkutano Mkuu.. Na siku moja baada ya Mkutano kutembeza bakuli la fedha za usajili, Tuachane nazo.

Kwa sasa Mnyama yuko vizuri..
Bukinafaso tuliwatwanga 3-0 katika mechi ya Kombe la FA kwa taabu kidogo.. Leo tunampiga 5-0.
Ushindi mkubwa kwetu kwa Polisi Moro ilikua ni 2-1.. Leo tunampiga 6-0 kama kasimama.
Kuhusu kufungwa na KMC ni sehemu ya mpira.. Usivunjike Moyo Mkuu.. Mnyama sasa kaimarika, Amini Nachokuambia.
 
Back
Top Bottom