Simba S.C yashusha kipigo kizito tena Leo.. Wapinzani kaeni Chonjo.

Simba S.C yashusha kipigo kizito tena Leo.. Wapinzani kaeni Chonjo.

Mkuu hizi siasa za, kupeleka Bulldozer Bunju siku moja kabla ya Mkutano Mkuu.. Na siku moja baada ya Mkutano kutembeza bakuli la fedha za usajili, Tuachane nazo.

Kwa sasa Mnyama yuko vizuri..
Bukinafaso tuliwatwanga 3-0 katika mechi ya Kombe la FA kwa taabu kidogo.. Leo tunampiga 5-0.
Ushindi mkubwa kwetu kwa Polisi Moro ilikua ni 2-1.. Leo tunampiga 6-0 kama kasimama.
Kuhusu kufungwa na KMC ni sehemu ya mpira.. Usivunjike Moyo Mkuu.. Mnyama sasa kaimarika, Amini Nachokuambia.

Mkuu Sembo Mimi ni Yanga lakini naweza kukwambia haya maneno na post zako inaonyesha moja kwa moja kama dhihaka fulani kwa Wanasimba,yaani unawafanya wao ni Mambumbumbu na malofa wasiojua mwenendo wa timu na mpira kwa ujumla.
 
Wamefuatilia ili kuijua vizuri klabu ya Simba.. Wakapata taarifa kuwa ni timu ya mchangani na wala si ya Kimataifa...

Wakaamua kughairi! [emoji23]
Katika ligi kuu ya Angola.. Ratiba ya baadhi za mechi za Interclube ni kama ifuatavyo;

Latest Results.
30.07.2016
Interclube Luanda 2-1 Sagrada Esperanca
24.07.2016
Recreativo Libolo 2-1 Interclube Luanda

Next matches
07.08.2016
Porcelana FC - Interclube Luanda
14.08.2016
Interclube Luanda - Desportivo Huíla
21.08.2016
1º de Maio - Interclube Luanda

Ikumbukwe Simba Day inafanyika 08.08.2016 ambayo ni Massa 24 tangu Interclube watoke kucheza mechi yao ya mwisho..
Hao Interclube..
1. Watasafili mda gani?
2. Watapumzika mda gani?
3. Watajiandaa mda gani?

Mwanafalsafa mmoja alishawahi kunena.. ".. Za kuambiwa, Changanya na za kwako"
 
Katika ligi kuu ya Angola.. Ratiba ya baadhi za mechi za Interclube ni kama ifuatavyo;

Latest Results.
30.07.2016
Interclube Luanda 2-1 Sagrada Esperanca
24.07.2016
Recreativo Libolo 2-1 Interclube Luanda

Next matches
07.08.2016
Porcelana FC - Interclube Luanda
14.08.2016
Interclube Luanda - Desportivo Huíla
21.08.2016
1º de Maio - Interclube Luanda

Ikumbukwe Simba Day inafanyika 08.08.2016 ambayo ni Massa 24 tangu Interclube watoke kucheza mechi yao ya mwisho..
Hao Interclube..
1. Watasafili mda gani?
2. Watapumzika mda gani?
3. Watajiandaa mda gani?

Mwanafalsafa mmoja alishawahi kunena.. ".. Za kuambiwa, Changanya na za kwako"

Kwa aina ya uongozi wa kisanii uliopo Simba sasa hivi sina shaka kuwa hakukuwa na mipango wala mawasiliano na hiyo timu sembuse hiyo ratiba unayosema wewe. Hii ilikuwa ni gia tuu ya kuwapumbaza wana Simba.
 
View attachment 375530
Kwiiiii kwiiii kwa mwendo huu acha tuendelee tu sisi kaka zetu nyie bakieni home mkune nazi.

Wekundu wa Msimbazi Simba SC baada mfululizo wa matokeo mazuri katika mechi zao za kirafiki, leo wamejikuta wakilala bao 1-0 kutoka kwa timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni KMC, mchezo ulifanyika mkoani Morogoro.

KMC walipata bao pekee katika mchezo wa leo kupitia kwa Rashidi Roshwa mnamo dakika ya 10 kufuatia kazi nzuri iliyofanywa na Emanuel Memba.

Simba, ambayo leo safu yake ya ushambuliaji ilikuwa ikiongozwa na Ame Ally ‘Zungu’ aliyetokea Azam kwa mkopo walikosa nafasi nyingi za wazi ambazo pengine zingeweza kubadili matokeo ya mchezo.

Simba wanatarajiwa kurejea jijini Dar es Salaam kati ya kesho au keshokutwa tayari kujiandaa na mchezo dhidi ya ya FC Leorpads ya Kenya kuelekea siku ya maadhimisho ya Simba day, ambapo kilele chake ni Agosti 8.

Source: SIMBA YACHEZEA KICHAPO MOROGORO | ShaffihDauda

CC. sembo
 
Back
Top Bottom