Acha ujuha wewe. Yaani watovu wa nidhamu waachwe kisa mastaa. Hiyo inakuwa timu au genge la wahuni. Halafu eti Chama, kwa mpira gani alionao pale. Hoja hapa ni kwamba usajili unatakiwa, kulaumu kocha ni upumbavu.
Sina uhakika kama kuumia au majeraha ya mara kwa mara yana uhusiano na umri. Alikuwapo kijana pale Yanga anaitwa Juma Mahadhi. Kuna wakati majeraha yalimuweka nje kwa miaka miwili, na alipotaka kurejea ndio akapotea kabisa