Acha ujuha wewe. Yaani watovu wa nidhamu waachwe kisa mastaa. Hiyo inakuwa timu au genge la wahuni. Halafu eti Chama, kwa mpira gani alionao pale. Hoja hapa ni kwamba usajili unatakiwa, kulaumu kocha ni upumbavu.Hata ukisajili wachezaji kwa huyu coach ni kazibure.Labda mkasajili wazunngu wenzake.
Ni upumbavu sana timu haina mfumo unaoeleweka,haina first eleven,na visirani vya kizungu vinafukuza wachezaji muhimu kama Morrison na Chama