Simba sajilini wachezaji acheni mambo ya ajabu ndio nini sasa kutaka kumuua kibu Denis

Kiukweli mimi ni simba ila nikiri simba awamu hii tupo hoi ibn taaban

Yaani kibu pamoja na kuvuja midamu yote ile bado kafosiwa aingie uwanjani hii ni kutokana na timu kujaa wachezaji vilaza mwanzo mwisho,

Halii hii ilipelekea kibu kushindwa kuendelea na mchezo kwa maumivu makali anayoyapata....kile kikosi kipana kimeenda wapi?

Wala tusitafune maneno. Tatizo sio kocha hakuna usajili wa maana uliofanyika pale na pia wachezaji wengi vipaji vimeshashuka tunahitaji usajili wa maana msimu huu

Hivi kweli MUGALU PRINCE KOPE MUSHIMBA ni mchezaji wa kutumainiwa dakioa 90 kweli?

Zaidi ya nusu saa anarekebisha msuko wake tu si ujinga huu?....mwingine Nyoni tumefungwa yeye anang'ang'ania kuweka vizuri heleni yake ni utu kweli huu?

Hivi onyango bado anastahili pale simba kweli? Mzamilu? Kanoute? Kagere?

Acheni ujinga mpira ni pesa, tieni pesa mkalete wachezaji wa maana si mmepata bilioni 3 nyie?

Utashangaa msimu ujao wanabaki. Kwakweli Simba Ina Viongozi na wachezaji wasiojua dhamani ya klabu.
 
Kale kawimbo kanaimbaje??

HAWAAMINI MACHO YAOOOO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

sipati picha mood aliyokuwa nayo mtoa mada
Mkuu tafadhali achana na mood yangu tafaadhali
 
Huyu kocha simtetei sana mkuu ila kama umemsikiliza mara kadhaa akihojiwa anasema kafanya kila aliloweza, ila matokeo yanakuja hivyo

Last match alisema tumetumia uwezo wetu wote ila haelewi ni kwa nini

Ukiisoma saikolojia ya macho yake wakati anaongea hayo ni kama mtu anayesema mmenijazia migalasa uwanjani, mizee, haifundishiki kazi yangu ni kuipanga uwanjani na nimeshalitekeleza hilo

Aondoke Sasa anafanya nini Kama ameishindwa
 
Kiukweli mimi ni simba ila nikiri simba awamu hii tupo hoi ibn taaban

Yaani kibu pamoja na kuvuja midamu yote ile bado kafosiwa aingie uwanjani hii ni kutokana na timu kujaa wachezaji vilaza mwanzo mwisho,

Halii hii ilipelekea kibu kushindwa kuendelea na mchezo kwa maumivu makali anayoyapata....kile kikosi kipana kimeenda wapi?

Wala tusitafune maneno. Tatizo sio kocha hakuna usajili wa maana uliofanyika pale na pia wachezaji wengi vipaji vimeshashuka tunahitaji usajili wa maana msimu huu

Hivi kweli MUGALU PRINCE KOPE MUSHIMBA ni mchezaji wa kutumainiwa dakioa 90 kweli?

Zaidi ya nusu saa anarekebisha msuko wake tu si ujinga huu?....mwingine Nyoni tumefungwa yeye anang'ang'ania kuweka vizuri heleni yake ni utu kweli huu?

Hivi onyango bado anastahili pale simba kweli? Mzamilu? Kanoute? Kagere?

Acheni ujinga mpira ni pesa, tieni pesa mkalete wachezaji wa maana si mmepata bilioni 3 nyie?
Wakati mechi ya Simba na yanga zamoyoni Mogela alipoumia kichwani na kuvaa bendeji kichwa kizima ulikuwa na umri gani?

Sio Jambo la ajabu kwa mchezaji kuumia na kuendelea na mchezo..

Yote ni ktk kuonyesha spirit ya kupigania timu.
 
Umeanza kushabikia moira jana,umekiri viwango vimeshuka,nani kavishusha kama sio kocha,onyango na kanoute bado wako vizuri
 
Simba inahitaji wachezaji wenye ari na sio wakubahatisha.
 
Kiukweli mimi ni simba ila nikiri simba awamu hii tupo hoi ibn taaban

Yaani kibu pamoja na kuvuja midamu yote ile bado kafosiwa aingie uwanjani hii ni kutokana na timu kujaa wachezaji vilaza mwanzo mwisho,

Halii hii ilipelekea kibu kushindwa kuendelea na mchezo kwa maumivu makali anayoyapata....kile kikosi kipana kimeenda wapi?

Wala tusitafune maneno. Tatizo sio kocha hakuna usajili wa maana uliofanyika pale na pia wachezaji wengi vipaji vimeshashuka tunahitaji usajili wa maana msimu huu

Hivi kweli MUGALU PRINCE KOPE MUSHIMBA ni mchezaji wa kutumainiwa dakioa 90 kweli?

Zaidi ya nusu saa anarekebisha msuko wake tu si ujinga huu?....mwingine Nyoni tumefungwa yeye anang'ang'ania kuweka vizuri heleni yake ni utu kweli huu?

Hivi onyango bado anastahili pale simba kweli? Mzamilu? Kanoute? Kagere?

Acheni ujinga mpira ni pesa, tieni pesa mkalete wachezaji wa maana si mmepata bilioni 3 nyie?
Kwa hiyo tatizo kwa sasa ni wachezaji! Na siyo tena benchi la ufundi!
 
Simba timu ya kijinga kabisa.Mbwembwe na kujiaminisha kwingiiiiiii halafu hamna kitu.

Hovyo kabisaaa
Hutaki tena kusikia pumzi ya moto kutoka kwa msemaji wenu Ahmed Ali! 😁😁
 
Mbinu hazifanyi kazi kwa wachezaji vilaza. Tuingie sokoni tusajili wachezaji quality. Tuache janja janja ya kusajili wachezaji waliotoka kujifungua
hata mpate wachezaji quality Yanga itawapasua tu sababu kila Dkk 10 Nabi anabadilisha formation bila timu pinzani kujua!! Nabi anafundisha kushambulia na Kaze anafundisha kukaba mtaweza wapi?
 
Kiukweli mimi ni simba ila nikiri simba awamu hii tupo hoi ibn taaban

Yaani kibu pamoja na kuvuja midamu yote ile bado kafosiwa aingie uwanjani hii ni kutokana na timu kujaa wachezaji vilaza mwanzo mwisho,

Halii hii ilipelekea kibu kushindwa kuendelea na mchezo kwa maumivu makali anayoyapata....kile kikosi kipana kimeenda wapi?

Wala tusitafune maneno. Tatizo sio kocha hakuna usajili wa maana uliofanyika pale na pia wachezaji wengi vipaji vimeshashuka tunahitaji usajili wa maana msimu huu

Hivi kweli MUGALU PRINCE KOPE MUSHIMBA ni mchezaji wa kutumainiwa dakioa 90 kweli?

Zaidi ya nusu saa anarekebisha msuko wake tu si ujinga huu?....mwingine Nyoni tumefungwa yeye anang'ang'ania kuweka vizuri heleni yake ni utu kweli huu?

Hivi onyango bado anastahili pale simba kweli? Mzamilu? Kanoute? Kagere?

Acheni ujinga mpira ni pesa, tieni pesa mkalete wachezaji wa maana si mmepata bilioni 3 nyie?

Wanaseti Msuko na hereni??!!🤣🤣, si ndio waganga wao waliwaambia wakiseti hivyo vitu mambo yatakwenda sawa, 🤣🤣
 
kuna mwingine kaingia anavaa heleni
hereni ya demu wake ilimshinda kuvaa vizuri akahangaika mpaka refa akamvalisha vizuri!! Nyoni kaishiwa kabisa!

Leo Mayele kathibitisha ni high class player Onyango akaanguka chini kama gunia la mchanga jamaa huyo anaenda kumuona Kakolanya! Mayele hakuwa na bahati tu ila kaupiga mwingi sana!
 
Wakati mechi ya Simba na yanga zamoyoni Mogela alipoumia kichwani na kuvaa bendeji kichwa kizima ulikuwa na umri gani?

Sio Jambo la ajabu kwa mchezaji kuumia na kuendelea na mchezo..

Yote ni ktk kuonyesha spirit ya kupigania timu.
Sitaki kujua mambo ya zamoyoni, nataka simba ifanye usajili
 
Ndo ujue mliachiwa mchezee mpira lakini nafasi ya kulisogelea goli mlikuwa amuipati ndo maana washambuliaji wenu akuna shambulizi la maana walilofanya
Muhiru alikuwa anapepesuka mwenyewe tu ka kuku wa kideli
 
Back
Top Bottom