Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo ndio tatizo kubwa la Simba kwa msimu huu...Pasi za umaliziaji za hovyo sana
ni nguvu tu,coastal Wana wachezaji wengi vijana wakipewa msuli wanaanguka tuSimba inacheza foul nyingi
tuna tatizo la utoaji pasi za mwishoDaah ni offside kweli
Book si kawafungia la offside mkuuYaani timu hata haieleweki inafanya nini hakuna shambulizi tunalo anzisha ukaona kuna goli linaenda kupatikana
Si kweli, faulo za wazi kabisani nguvu tu,coastal Wana wachezaji wengi vijana wakipewa msuli wanaanguka tu
Hahaha mpaka sasa tunaongoza goli moja la offsideBook si kawafungia la offside mkuu
Ndiyo assist Mtanzania mwenye asili ya CongoHahaha mpaka sasa tunaongoza goli moja la offside
🤣🤣🤣back pass ilitaka kuzama kwenye netHuyu Manula alitaka kunifumua moyo
Huyu jamaa tuliwahi sana kumpa uraiaNdiyo assist Mtanzania mwenye asili ya Congo