Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Kwa Anaye Sikiliza mpira Ajue Kuwa TUNABEBWA NA MTANGAZAJI, kwa Anaye Angalia Mpira Ajue kuwa Baraka Mpenja Anacheza Vizuri kwa Mdomo Kuliko Wachezaji Wote wa Simba.

Gomez ameonewa Tuu
Gomes akwende tuuuu.... Ule msalaba ni wake....
 
Kocha kafanya jambo zuri kufanya sub za mapema hata kama imemlazimu kulingana na majeruhi
 
Kwa Anaye Sikiliza mpira Ajue Kuwa TUNABEBWA NA MTANGAZAJI, kwa Anaye Angalia Mpira Ajue kuwa Baraka Mpenja Anacheza Vizuri kwa Mdomo Kuliko Wachezaji Wote wa Simba.

Gomez ameonewa Tuu
Gomes hajaonewa akaongeze elimu ,mwenzake Matola leo leo kapata rasmi leseni ya daraja B
 
Back
Top Bottom