Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Kwa Anaye Sikiliza mpira Ajue Kuwa TUNABEBWA NA MTANGAZAJI, kwa Anaye Angalia Mpira Ajue kuwa Baraka Mpenja Anacheza Vizuri kwa Mdomo Kuliko Wachezaji Wote wa Simba.

Gomez ameonewa Tuu
Mkuu linapigwa pira gani hapo?😂😂😂😂
 
Sasa ni?

Manula

Kapombe Onyango Henonga M.Hussein

Bwalya. Mkude

HD. Morrison. Kibu

Bocco.
 
Moo pumbav kabisa,anaanzisha ugomvi na wachezaji Kisha anawauza kwa hasira!
Na hicho kidemu chake ki CEO,kilikuwa Morocco kula bata eti ndio kimetuletea wachezaji wa hivi!!!!!!Shwain,inaniuma kweli!
 
Hii biashara angekua Juma Mgunda ingeisha mapema Sana. Mzungu anaweza kuwa mbishi kidogo.....
But all in all leo na tawi lao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli. But ngoja tuone
 
Back
Top Bottom