Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Kuuza wachezaji ni moja ya mapato ya klabu... Vilabu vikubwa duniani wanauza wachezaji wao....

Tatizo la Simba haikuleta mrithi/mbadala ya waliondoka.... Timu ni kama inaanza upya....
Chama kuuzwa ilitokana na Mo kwenda kufokafoka kwenye account ya Chama ya Instagram!Kutokuelewana kulianzia hapo,akamuuza kwa hasira!
Angekuwa kwenye mipango ya kuuzwa basi mbadala angekuwa ameshaandaliwa!
Halafu Mo alivyoona ameshapiga deal na timu imebaki hovyo,anajiuzulu uenyekiti,Shwain kabisa!
Niliudhika sana!
 
Unaweza toa penati ya vile ungekuwa wewe refa ama ile penati ya morison unaweza funika kweli kama si mahaba
Kwa jana kama mi ndo refa katika yale mazingira ningefanya kutegemea na mpunga ambao yanga imeniahidi
 
Back
Top Bottom