Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Muwe na subira mnataka magoli kila dakika kwani imekuwa netball hiyo?

Creativity ilikosekana kwenye final third ndio sababu ya double sub, mtuliee

Penetration passes za Mkude na chenga za Morrison kupunguza watu zinahitajika
 
Moo pumbav kabisa,anaanzisha ugomvi na wachezaji Kisha anawauza kwa hasira!
Na hicho kidemu chake ki CEO,kilikuwa Morocco kula bata eti ndio kimetuletea wachezaji wa hivi!!!!!!Shwain,inaniuma kweli!
Kuuza wachezaji ni moja ya mapato ya klabu... Vilabu vikubwa duniani wanauza wachezaji wao....

Tatizo la Simba haikuleta mrithi/mbadala ya waliondoka.... Timu ni kama inaanza upya....
 
Labda kwa penati, ila kwa soka mna uwezo mdg mno
Sasa kwani penalty haiji baada ya uwezo?

Mtu uki kwenye penalty box unataka ku shoot ufunge mpinzani anakuja kuunawa afu useme sio kiwango kilicho pelekea penalty kutokea?
 
Sasa kwani penalty haiji baada ya uwezo?

Mtu uki kwenye penalty box unataka ku shoot ufunge mpinzani anakuja kuunawa afu useme sio kiwango kilicho pelekea penalty kutokea?
Hakuna penati pale mdg wangu sema mahaba ya refa tu
 
Hakuna penati pale mdg wangu sema mahaba ya refa tu
Mi nilikua nakuelekeza mazingira ya penalty ambayo yanaweza kujitokeza baada ya timu kuzidiwa, nilikua nakupinga kua sio kila penalty ina tafsiri ya timu kubebwa na mwamuzi

Ila ile aliyopeta jana kwenye mechi ya azam ilikua clearly kabisa
 
Unaweza toa penati ya vile ungekuwa wewe refa ama ile penati ya morison unaweza funika kweli kama si mahaba
 
Mjitahidi mchukue hata nafasi ya 3
Yap kwa africa lazima tupambane tuwe top three, na sio top three tu ikiwezekana hata kuwa on top kabisa

Maana kule juu yuko al ahly afu sisi wa 13 l, na nikiqnza kuangalia sisi na al ahly tunapishana kwenye bajeti tu lakini mpirw ni ule ule.

Na ndio maana tunafungana, wale wakubwa wenzetu

Sasa angalau na nyue mfight muwe hata 50 bora
 
Back
Top Bottom