Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Mo kesho awape hawa vijana Mo Energy na Mo Soap wakauze mtaani maana mpira hata haieleweki nini kinaendelea
 
Refa wafikilie Hawa Kwasukwasu FC.... Hata wakijiangusha katikati we wape penalti
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Toka uwanjani mamako una mbwera nini hapo babake?
 
Simba, wanamgogoro mkubwa sana! sijui kwanini wanishindwa kuutatua ligi ikiwa haijachanganya!.

Mo alijua mapema hii timu, akamua kumuachia mzigo Salim. lawama zote zimuuendee Salim
 
Back
Top Bottom