Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Kwa hiki kikosi naamini kabisa maneno ya Mo kuna wangese wanatuharibia timu... Leo tukishinda hata goli moja tushukuru Mungu

Kibu ndio wakumuweka bench BM kweli? Dilunga game zote kapewa muda lakini mpaka sasa hajui kipi anafanya!
 
Umeshawahi kucheza hata gombania goli!?
 
Kmc - kipa etc ni uto
Jkt - kocha etc.
Polisi - kipa etc
Bashara - mnajua RC alichofanya
Dodoma Jiji - mnajua mbunge alichofanya,
N.k.
Tumemalizana na matawi ya yanga maana. Walipewa pesa ili kutuvunjia miguu wachezaji wetu.
 
Simba inapata kona ya kwanza, goal kick dilunga kapaisha
 
Back
Top Bottom