Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Kumbe na wewe umo na hao wa matopeni kuugulia?Hii simba hii itatutoa roho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wewe umo na hao wa matopeni kuugulia?Hii simba hii itatutoa roho
Hii score board ni kibokoFull time
00000-0000
Ila wewe mwaka huu watakuua hawa wa matopeniNgoma imedoda hii
Kwa Mkapa hatoki mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo nani kawahujumu?
Simba bora wamrudishe GomezMpira umekwisha....
Simba 0 - 0 Coastal Union...
Nasikia wachezaji njaa Mo tangu alipojitoa mishahara na posho hakunaNdugu yangu hii timu inahitaji kazi ya ziada kuijinga tena kuna kitu nyuma ya haya wachezaji wana jambo mioyoni si bure.
Mbele kwa mbele kama Injili.... Gomez ni tatizo... Ila wachezaji ni tatizo zaidi....Simba bora wanrudishe Gomez
Unatype hivyo huku unalia, point ngapi?Siyo mbaya, at least. Ni Cleansheet ya 4.
Butubutu 🤣🤣🤣Anatokaje kwa pila biriani kama lile
Una ramli kali sana ndugu,makolo watoka kapa leoRefa wa leo katusaliti Makolo badala ya kutupatia penati yetu badala yake katupiga umeme
Huwa nasoma comment zake kwenye hizi mechi. Anachoandika mwanzo, katikati na mwisho wa mchezo mtu unaishia kucheka tu.Ila wewe mwaka huu watakuua hawa wa matopeni
Butubutu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]