Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Naam! ni mnyama simba akipepetana na mlandege kuwania kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la mapinduzi Zanzibar.

Vikosi vyote viko sawa bin sawia, tayari wakisubiria muda tu ufike tupate kufahamu je ni mnyama simba kutoka bara au ni mlandege kutokea visiwani Zanzibar.

Kwa live updates za mchezo wote ungana nami moja kwa moja kwa dk zote 90. mchezo ni saa 2:15 usiku kwa saa za afrika mashariki.
 
Ngoma ya kitoto imeisha jioni hii watoto wameenda kulala,sasa unatafa mziki wa wakubwa.
 
Ngoma ya kitoto imeisha jioni hii watoto wameenda kulala,sasa unatafa mziki wa wakubwa.
Baada ya kushuhudia wana utopolo wakiruka ruka Sasa ni muda wa kushuhudia kabumbu safi likitandazwa na lunyasi, mnyama mkali simbaaaa
 
Hakuna ligi kwa point yako inamaana anayecheza na Simba ni uozo zaidi kuliko KMKM
Namaanisha ligi yao ni dhaifu sana, hawawezi ku compete na timu za bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…