Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii michuano ya mapinduzi wazenji wanacheza jihad sana na hawana Cha kupoteza, kwasababu ligi ya Zanzibar haiko kwenye kalenda za mashirikisho ya kimataifa ikiwemo caf, viongozi wa timu za bara hasa timu yangu pendwa Simba wawe makini sana! Kulinda key players wetu ambao watatusaidia kimataifa! Katika kupanga kikosi kocha awe makini sana, angalizo! Kwasababu ata waamuzi wa zenji viwango vyao viko chini! Matukio Ni mengi ya hatari lakin kadi hakuna! Yaan mpaka mtu afe uwanjani ndo watoe kadi nyekundu...[emoji23][emoji23]
Na wengine pia wanataka waonekane na vilabu vya bara maana mpunga wa zenji mdogo.Hii michuano ya mapinduzi wazenji wanacheza jihad sana na hawana Cha kupoteza, kwasababu ligi ya Zanzibar haiko kwenye kalenda za mashirikisho ya kimataifa ikiwemo caf, viongozi wa timu za bara hasa timu yangu pendwa Simba wawe makini sana! Kulinda key players wetu ambao watatusaidia kimataifa! Katika kupanga kikosi kocha awe makini sana, angalizo! Kwasababu ata waamuzi wa zenji viwango vyao viko chini! Matukio Ni mengi ya hatari lakin kadi hakuna! Yaan mpaka mtu age uwanjani ndo watoe kadi nyekundu...