Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Hahahahaha huyu refa wa leo anajikuta Kama refa wa premier league! Yaan very strict kuwakazia Simba hahahaha
 
Hiyu refa yukoje mbona haeleweki, mchezaji wa mlandege anacheza faulo lakini freekick wanapata mlandege
 
Almanusura kibu awanyooshe hapa
 
Zenj ni wanachama wa Caf mkuu lkn sio FIFA kwahiyo nao wanahusika kwenye calender.
Boss nakataa utetezi wako, lini umewahi kusikia bingwa wa PBZ league yupo CAFCC!??? Kwasababu mabingwa wa league zote za ndani za Afrika lazima wacheze mabingwa! Hao wazenji Ni wanachama wa CECAFA boss nikukumbushe tuh!!
 
Back
Top Bottom