Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Mechi ya midebwedo sanko ni kituko anacheza segere siyo mpira.!
Naona wewe kalio lako ni jepesi kupona, ile miko miwili ya mchana ila bado umepata nguvu za kuja kutambia wanaumwe tena?
 
Utopolo utakufa mdomo wazi kwa stress
Timu mbovu bana pamoja na kujaza mastraika wenu ila mpaka saivi hamjafunga mngelikutana na kmkm sijui mngelikuwa na hali gani[emoji16][emoji16].
 
Mpira ni half time, Simba 0 mlandege 0
 
Hivi bwana Franco anajiona nani? Huyu kocha aache upumbavu bangi zake aache hukohuko alikotoka kama anahasira sana ajiuzuru akalime viazi ulaya pumbaf
 
Upuuzi unaofanywa na marefa hauvumiliki.
 
Hivi bwana Franco anajiona nani? Huyu kocha aache upumbavu bangi zake aache hukohuko alikotoka kama anahasira sana ajiuzuru akalime viazi ulaya pumbaf

Na wewe kunywa maji baridi utoe hilo povu mdomoni [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom