OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyu refa mavi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kmkm alicheza caf confederationBoss nakataa utetezi wako, lini umewahi kusikia bingwa wa PBZ league yupo CAFCC!??? Kwasababu mabingwa wa league zote za ndani za Afrika lazima wacheze mabingwa! Hao wazenji Ni wanachama wa CECAFA boss nikukumbushe tuh!!
Pole sana fuatilia ujue mambo madogo sana ni aibu kukuona ujui.Boss nakataa utetezi wako, lini umewahi kusikia bingwa wa PBZ league yupo CAFCC!??? Kwasababu mabingwa wa league zote za ndani za Afrika lazima wacheze mabingwa! Hao wazenji Ni wanachama wa CECAFA boss nikukumbushe tuh!!
Simba wanacheza mpira wa hovyo sana, aheri hata kuangalia Mbagala Market wakicheza.Mechi inakosa ladha kutokana na foul za kijinga zinazochezwa na hawa mlandege
Wajinga tu hao watoto, faul zote hizo za nini?Mechi inakosa Radha kutokana na foul za kijinga zinazochezwa na hawa mlandege
Mimi nazungumzia champions league...Kmkm alicheza caf confederation
Kanataka kakuzamishie mshipiHaka kajamaa kaliko kunja bukta kana maana gani?
Refa wa mchongoWajinga tu hao watoto, faul zote hizo za nini?
Refa nae kashindwa kabisa kuutuliza huu mchezo sijui kasomea wapi tu, mechi kama hii kuituliza inatakiwa unagawa kadi za njano kama 3 kwa kila anaecheza faulo za kudhamiria, uone kama hawajatulia kwa kuhofia RED.
kuwalea kijinga hivyo ni kuharibu tu mpira.
Ile miko miwili mliosokomezwa leo haijakutosha?Simba wanacheza mpira wa hovyo sana, aheri hata kuangalia Mbagala Market wakicheza.