Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Ila kocha wa simba bwana mwenzake kaze kala njano leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu tulia jikoni upike tusije kulala njaa, tukitoka kuangalia soka safiiii la mnyama.Hivi bwana Franco anajiona nani? Huyu kocha aache upumbavu bangi zake aache hukohuko alikotoka kama anahasira sana ajiuzuru akalime viazi ulaya pumbaf
Mwacheni kabisa kocha wetu mpira gani usiofuata Sheria wakati tuna mashindano makubwa yaliyokwekewa malengoHivi bwana Franco anajiona nani? Huyu kocha aache upumbavu bangi zake aache hukohuko alikotoka kama anahasira sana ajiuzuru akalime viazi ulaya pumbaf
Umeshindwa kuvumilia dakika 90 tuh kuonyesha upumbavu wako! Yaani lazima uto mjitambulishe tuh kuwa mpo hata Kama Ni unnecessary!???Hivi bwana Franco anajiona nani? Huyu kocha aache upumbavu bangi zake aache hukohuko alikotoka kama anahasira sana ajiuzuru akalime viazi ulaya pumbaf
Mtoe kwenye list,fanya kama ni mchezaji wa upande wa pili wa timu.Hivi Wawa yupo serious kweli ??
Haya ni mambo ya wanaume na watu wazima, mvulana kama wewe hauwezi kuelewa kitu.MakolooO:O Mlandege HALFTIME
Ngoja tuone.Njano ya kaze ni kihele hele chake mwenyewe, ila Pablo ana point.
Umenikumbusha treila na mkanda.ilikuwa inatangulia yondo sister(trailer) Kisha Rambo(mkanda)😁😁😁😁Ngoma ya kitoto imeisha jioni hii watoto wameenda kulala,sasa unatafa mziki wa wakubwa.
Ni mapema sana kuamua mkuu.Mchezaji gani wa utopolo anafika japo robo ya kiwango cha sakho ??
Kaze baada ya kupewa second chance utopoloni, anajifanya chawa pro max wa yanga! Naye ni mpumbavu mmoja tu...!! Kula umeme stahiki yake...Njano ya kaze ni kihele hele chake mwenyewe, ila Pablo ana point.
Vipi ile battle ya Mayele vs Kagere bado ipo au ume i pause?Mpira ni mchezo wa wazi mkuu, na kiwango hakijifichi.