Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakutana na Azam next roundYaani hata mechi za mapinduzi GSS anaweka pesa kwa wapinzani ni hatari sana.
Hizi rafu ni za mchongo wa pesa kabisa.
Labda wanataka kumfananisha na yule mbavu mbili tuliemuona leo.Niliwahi kusema wazi kuwa mayele ni straika bora sana, hivyo na nyie inabidi mtoe credit kwa sakho hamna mchezaji wa yanga anayefikia kiwango chake
AnajiDtram Nchimbi tuHivi mhilu anafanya Nini Simba!???
Tupeni update huku mikoani mvua inanyesha Azam tatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uyu Sakho anachezewa faulo sana hii mechi.
Mnakumbuka faulo alizokua anafanyiwa Merqueson msimu ulipita?.
alikua anabetuliwa mitama anaruka juu juu kabla ajafika chini anakutana na kifuti cha shingo akifika chini anakanyagwa kwenye mbavu.
Hakuna goli za kutosha hapo. Ni goli moja au mbili. Jamaa wanakaba Hadi kivuliMlandege watafanya vurugu ila watapiga goli za kutosha
Ingekuwa simba wameanzisha wachezaji wa kawaida, basi wangetoa hata sare ila ndo hivyo hawana nguvu ya kushindana na timu za Bara
Mtangazaji aliteleza ulimi, alafu ukimskiza vizuri anashindwa kuficha mapenzi yake kwa mlandege na uzenji uzenji mwingi...Hivi aliyechezewa foul ni sakho au Israel Patrick ??