Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Kaguswa kidogo lakini anavyolalamika as if kaminywa na trector
 
Mnaoangalia, Simba anaupiga mwingi kama inavyotakiwa? Sitaki kuuliza habari za Mugalu maana hizo nazijua hâta nisipoangalia.
Unapigwa wa wastani mkuu, mugalu ame improve nowadays [emoji23]
 
Ila gadiel Kawa mtamu siku hizi.
 
Unapigwa wa wastani mkuu, mugalu ame improve nowadays [emoji23]
Mkude anapiga backpass nyingi sana...! Kocha halifanyie kazi hili suala ! Ni mchezaji mzuri naweza kusema katika wachezaji waliotulia uwanjani psycho ya mkude iko juu lakini backpass NOO ZIMEZIDI KIWANGO CHA UVUMILIVU..!!
 
Sometimes inabidi mkuu, hawa mlandege kuna muda wanapaki basi ni ngumu kupenetrate, hivyo back pass zinatumika kuwavuta
 
[emoji23][emoji23] inonga bhana!
 
Hii michuano ya mapinduzi wazenji wanacheza jihad sana na hawana Cha kupoteza, kwasababu ligi ya Zanzibar haiko kwenye kalenda za mashirikisho ya kimataifa ikiwemo caf, viongozi wa timu za bara hasa timu yangu pendwa Simba wawe makini sana! Kulinda key players wetu ambao watatusaidia kimataifa! Katika kupanga kikosi kocha awe makini sana, angalizo! Kwasababu ata waamuzi wa zenji viwango vyao viko chini! Matukio Ni mengi ya hatari lakin kadi hakuna! Yaan mpaka mtu afe uwanjani ndo watoe kadi nyekundu...
Zenj ni wanachama wa Caf mkuu lkn sio FIFA kwahiyo nao wanahusika kwenye calender.
 
Daaah kibu ana mavitu, umeona alivyo uchop ule mpira?
Aaah huyo jamaa sijui ntakuja kumuamini lini tu, me mpaka leo inatamani Simba Sc isajili straiker mkali asiyecheka na nafasi nyingi ambazo Simba hutengeneza.

Mastraiker wote tulio nao ni viazi tu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom