rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Simba hawajajifunza kwa tukio la nyoni kuumizwa mapinduzi wakati tunashiriki klabu bingwa, wale mlandege walipania kumvunja sakho na refa alikuwa anawachekea. Kombe lenyewe halina thamani zaidi ya kunufaisha waandaajiMoira ni mipango siyo kukurupuka tu na wachezaji wa kizanzibari ambao bei zao ni kama za kuku wakatuvunjia wachezaji wetu wenye thamani kubwa.
Nitajie mchezaji gani hapo Zanzibar Mwenye thamani kubwa!?
Hapana mkuu, mimi sijawahi tulia neno polite kati ya uliyotaja hapo juu isipokuwa neno MWIKO tu.Kama kutumia hayo maneno mwiko, kabwili fc, mpalange fc, tigo fc n.k inawasaidia kupunguza masononeko mliyonayo basi endeleeni, ila mnaonesha dalili zote za watu waliyokata tamaa na timu yao ndio maana mmetafuta njia mbadala ya kupata comfort
Kama inakupa unafuu it's fine, mi sina neno mkuu. Nimetoa maoni tuHapana mkuu, mimi sijawahi tulia neno polite kati ya uliyotaja hapo juu isipokuwa neno MWIKO tu.
Kauli mbiu yenu ni mwiko nyuma popote pale mnapokuwa, hivyo sidhani kama huwa nakosea.
Hivi Mangungu ana elimu gani? Dr Mshindo Msolwa ana elimu gani? Najua shabiki asiejua atazungumzia upande wa Mo ambao yeye haumuhusu kutokana kutotambua yeye yupo upande gani Kwenye simba.Mwambie huyo kibogoyo. Jamaa ni bonge la ndezi. Simba ni timu ya wasomi. Yanga ni timu wachawi na akina Mzee mpili.
Mwiko,si mnao huko nyuma Mimi sitaki na siwezi,!😂Tukupe mwiko?
kwa sasa mnahali gani huko mapinduziKoloo mlandege anashika namba 8 wakati kmkm namba 1 anaongoza ligi
Unasemaje??Kaeni mjitafakari sana na hii timu yenu ya kufanya majaribio
Rudia tena[emoji23]Mashabiki wa simba mnastress toka mayele awagonge
watasema nini tena kelele kibao kabla ya mafanikio.Rudia tena[emoji23]