Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #201 Ambao mlikua mna doubt kwamba refa angeweka penalty pale mayele alipoanguka nadhani kupitia haya marejeo wanayoonesha ndio mmeweza kuona namna jamaa alivyojiangusha bila kuguswa
Ambao mlikua mna doubt kwamba refa angeweka penalty pale mayele alipoanguka nadhani kupitia haya marejeo wanayoonesha ndio mmeweza kuona namna jamaa alivyojiangusha bila kuguswa
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Dec 11, 2021 #202 Hii mechi yanga watapigwa goli la counter attack wasipoangalia
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #203 Hatari sana sijajua ndio mfumo walioingia nao au vipi, ila yanga kupoteza muda kizembe kama hivi ni ujinga
Hatari sana sijajua ndio mfumo walioingia nao au vipi, ila yanga kupoteza muda kizembe kama hivi ni ujinga
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Dec 11, 2021 #204 Inonga 🔥
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #205 Dakika ya 18 Morrison kajaribu kupiga shiluti la mbali lakini limeenda nje ya lango
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #206 Onyango ni bonge la beki mwache azeeke ndio anazidi kukomaa ila kibu ni mdwanzi
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #207 Feisal kachezewa foul ni free kick wanapata yanga
Lager JF-Expert Member Joined Mar 4, 2019 Posts 395 Reaction score 1,085 Dec 11, 2021 #208 Online tunaangalia wapi
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Dec 11, 2021 #209 Simba kwanini sijui hawatoi pasi za mwisho kwa haraka
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #210 Hahaha naona yanga wanashangilia mayele kumpiga tobo onyango
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,135 Dec 11, 2021 #211 Kibu hatokee harakaaaa
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #212 Jamani kwa ambao hamko uwanjani kama mnasikia kelele hizo sio za goli ni yanga wanashangilia mayele kumpiga tobo onyango
Jamani kwa ambao hamko uwanjani kama mnasikia kelele hizo sio za goli ni yanga wanashangilia mayele kumpiga tobo onyango
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Dec 11, 2021 #213 Meanwhile...
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #214 Naye kaze eti alinyanyuka alijua goli kabisa, hahaha ila jamani
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 76,039 Reaction score 230,142 Dec 11, 2021 #216 Scars said: Naye kaze wti alinyanyuka alijua goli kabisa, hahaha ila jamani Click to expand... Tunawapa alert Goli lipo njiani.
Scars said: Naye kaze wti alinyanyuka alijua goli kabisa, hahaha ila jamani Click to expand... Tunawapa alert Goli lipo njiani.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Dec 11, 2021 #217 Jamani Mabango Ya GSM Viipi? Yapo hapo!
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #218 Yanga wanapata free kick tena katikati ya uwanja yani ni mbaaaali sana
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,641 Reaction score 11,958 Dec 11, 2021 #219 Daah aisee
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 11, 2021 #220 Navyosema mayele ni mbooovu nadhani hapa mtakua mmenielewa