Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Ambao mlikua mna doubt kwamba refa angeweka penalty pale mayele alipoanguka nadhani kupitia haya marejeo wanayoonesha ndio mmeweza kuona namna jamaa alivyojiangusha bila kuguswa
 
Hatari sana sijajua ndio mfumo walioingia nao au vipi, ila yanga kupoteza muda kizembe kama hivi ni ujinga
 
Dakika ya 18 Morrison kajaribu kupiga shiluti la mbali lakini limeenda nje ya lango
 
Onyango ni bonge la beki mwache azeeke ndio anazidi kukomaa ila kibu ni mdwanzi
 
Feisal kachezewa foul ni free kick wanapata yanga
 
Hahaha naona yanga wanashangilia mayele kumpiga tobo onyango
 
Meanwhile...

6CBC6BD3-7DCC-45C3-818A-27FAF0382E3F.jpeg
 
Naye kaze eti alinyanyuka alijua goli kabisa, hahaha ila jamani
 
Yanga wanapata free kick tena katikati ya uwanja yani ni mbaaaali sana
 
Navyosema mayele ni mbooovu nadhani hapa mtakua mmenielewa
 
Back
Top Bottom