Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

enonga aongezewe mshahara jamani, sisi kama washabiki tupeni namba yake ya benki
 
Hahahaaa yanga hasa zeru zeru mlijiaminisha mnapiga watu nyingi ila kwa navo ona mmesha poteana
 
Kumbe aucho naye yumo?

Daah jamani hii mipira hii watu wanafichika
 
Kwa mechi hadi kipindi hili cha kwanza,Ili magoli yapatikane kwa timu zote ni lazima wachezaji watumie mbinu ya dribling badala ya kutegemea pass kwa pass.
 
eeeeeh eeeh aisee ilikua hatari hapo manula alitoka golini, bila onyango hapo ingekua shida
 
Yes kibu sio kila siku feisal tu wamesahahu nawewe ni hazina
 
dakika moja imeongezwa kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza

NAaaam dakika za kipindi cha kwanza zimemalizika mpira ni mapumziko

Simba 0 yanga 0
 
Back
Top Bottom