Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Hahaha naona yanga wanashangilia mayele kumpiga tobo onyango
Unataka zile za mikia tu kushangilia?. Bahati mbaya humu mtandaoni huwezi kuwazuia mashabiki wote wasishangilie kama utakavyo. Utaishia tu kujizeesha peke yako
 
Kapombe kachezewa foul refa hajaona, simlaumu
 
Paka anakufa leo..babu onyango atasababisha penalt
 
Feisal akishaona kwamba huu mpira siuwezi kuupata anatafuta namna ya kujiangusha apate free kick
 
Natuamaini ndugu zetu wa simba mnafurahia moto mnaopelekewa
 
Hahaha mpaka sasa simba mnanifurahisha sana
 
Kagere kapiga cross nzuri imekosa mmaliziaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…