Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Uwanja umeinama kwa Simba, ni muda wa kufanya sub lasivyo Yanga wanaweza wakawazidi maarifa na kupata goli
 
Yanga hawaamini walijua watatuchakaza kama walivyozoe vitimu uchwara uchwara cha moto mmekiona
 
Mambo ya mzungu na teknlolojia ya power bank kweli mzungu fundi

Haya tena tuko pamoja tunaendelea kukuhabarisha
 
Back
Top Bottom