Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Mnyama mkali Simba sc tafuna huyo Chura Yanga.
SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA VPL 2021/2022
SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA VPL 2021/2022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mijitu mingine bana.aliyeamka saa 6 ni yeye. anakula kwenu? acha kupangia watu stareheDah! Nimecheka. Nchi hii tushakubali kutoendelea. Yaani mtu anakaa anawaza igonge saa sita kamili usiku aachie thread. Noma.
Umeisha [emoji23]Yanga akitufunga leo mniite jokate.
Sio wote wanaishi Tanzania na sio wote usiku wanalalaDah! Nimecheka. Nchi hii tushakubali kutoendelea. Yaani mtu anakaa anawaza igonge saa sita kamili usiku aachie thread. Noma.
Imeisha iyoNaam wanasimba wote tuwe pamoja hapa leo kuna kitoweo cha swala.
Mshana Jr
Ghazwat
OKW BOBAN SUNZU
ChamasonMorisonBwalyason
BRN
Kalpana
Erythrocyte
This is...
Kijukuu cha ngoyayi
Utopologist
busha
Mbaga III
Simba nguvu moja.
Simba taifa kubwa.
Simba the next level.
wewe si ulisema tukuue?subiriUmeisha [emoji23]
Yanga 3 Simba 0Yanga akitufunga leo mniite jokate.
Yanga 3 Simba 0. Michezo hiyo yote watu wanaijua kuliko wewe uliyeanza kushabikia Simba uzeeni.Umejawa na imani ya kishirikina badala ya kuamini kikosi ulichonanchoKuna dalili ya mvua leo hivyo matokeo ni Simba 5 - 1 Yanga
(Wafungaji - Morson 3, Sako 1, Kagere 1)
Unawajua Yanga vizuri? Ni lini Yanga wamedharau mechi? Leo Yanga 3 Simba 0Mechi itakuwa Ila Simba anaweza kushinda au sare kwakuwa Yanga wanacheza sana mpira wa mdomo kuliko vitendo