Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Mnyama mkali Simba sc tafuna huyo Chura Yanga.

SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA VPL 2021/2022
 
Kuna timu walichungulia wakakuta kuna goal nyingi wanafungwa pale Lupaso, wakaanzisha zengwe ili mechi isichezwe

Na ss tukawahi kwenda kuyatoa mabango haraka sana ili kitoweo kije kwenye mtego haraka sana

Mpango na utaratibu upo kama ulivyo, na Tunashukuru kwa kujaa kwenye mtego wetu

Kilichobaki ni utekelezaji
Asante
 
Mechi itakuwa Ila Simba anaweza kushinda au sare kwakuwa Yanga wanacheza sana mpira wa mdomo kuliko vitendo
 
Kuna dalili ya mvua leo hivyo matokeo ni Simba 5 - 1 Yanga

(Wafungaji - Morson 3, Sako 1, Kagere 1)
Yanga 3 Simba 0. Michezo hiyo yote watu wanaijua kuliko wewe uliyeanza kushabikia Simba uzeeni.Umejawa na imani ya kishirikina badala ya kuamini kikosi ulichonancho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…