Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Dah! Nimecheka. Nchi hii tushakubali kutoendelea. Yaani mtu anakaa anawaza igonge saa sita kamili usiku aachie thread. Noma.
Inaonekana umeumia sana kwa mleta thd kuanzisha hii thd,vipi amekuwahi na ulipanga uanzishe wewe thd ya aina hii?

Unamponda mleta thd huku umeisoma na kuichangia!
 
Mayele anajiangusha anafikiri penalty zinatafutwa kirahusi hivi kwenye derby
 
Tunahitaji updates kila baada ya dakika 5 ili tujue uelekeo wetu
 
Hawa utopolo wameingia wa moto wanataka wafunge mapema kenge hawa hawatoboi maana tunawachola tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…