Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
yeah magoli ya mchongo huwa yanazingua sanaPenati iwe ya halali. Kutokutoa penati ya halali ni kuharibu mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah magoli ya mchongo huwa yanazingua sanaPenati iwe ya halali. Kutokutoa penati ya halali ni kuharibu mpira.
Tusubirie mtanange huwezi jua leo Kanoute akaplay role muhimuHuyu kocha wa simba nae mbabaishaji tu sasa kanoute pale kati wa nini mamaee[emoji35][emoji35]
KILA LA HERI TIMU YANGU YA MOYONI [emoji617]View attachment 2040632
Mkuu nafuatiliaga post zako kwenye mechi......... we simba damu..Naona kuna taarifa mpya CEO wa simba amezuiwa kuingia uwanjani yeye na familia yake
TFF hizi habari zikiwafikia CAF mtajuta
Camera za azam zimeleekezwa kwa mayele tu, ngoja mpira uishe hawata amini
Acha upumbavu, CAF inahusika vipi na mambo ya ndani, hicho kimalaya cha kidosi yeye ni nani nchi hii?Naona kuna taarifa mpya CEO wa simba amezuiwa kuingia uwanjani yeye na familia yake
TFF hizi habari zikiwafikia CAF mtajuta
Atakupoteza huyo, nakupa angalizo tu.Mkuu nafuatiliaga post zako kwenye mechi......... we simba damu..
Mpira ni love, ebu angalia namna wachezaji wa pande mbili waki hugAcha upumbavu, CAF inahusika vipi na mambo ya ndani, hicho kimalaya cha kidosi yeye ni nani nchi hii?
Ombeni leo msare au mfunge, tukishinda kumamake hamtakaa hapaWe ukizeeka utakuwa mchawi
Sharauti sanaMkuu nafuatiliaga post zako kwenye mechi......... we simba damu..
Tuliaa mama wa kihindi wewe [emoji23]Ombeni leo msare au mfunge, tukishinda kumamake hamtakaa hapa
Hahaha. Namuelewa sana huyu mwamba. Juzi alikatwa mkia kwa kuisaliti simba na kurudi baada ya simba kurudisha goli.Atakupoteza huyo, nakupa angalizo tu.
Ila leo usikimbie ukarudiSharauti sana
Kimempaka futa GSM akabanduliwa taifaAcha upumbavu, CAF inahusika vipi na mambo ya ndani, hicho kimalaya cha kidosi yeye ni nani nchi hii?
Leo ushindi wa mapema sana tunapata, sina haja ya kusepaIla leo usikimbie ukarudi