Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Naona kuna taarifa mpya CEO wa simba amezuiwa kuingia uwanjani yeye na familia yake

TFF hizi habari zikiwafikia CAF mtajuta
Acha upumbavu, CAF inahusika vipi na mambo ya ndani, hicho kimalaya cha kidosi yeye ni nani nchi hii?
 
Simba msituangushe watu tumebeti huku na watu wa Yanga
 
Acha upumbavu, CAF inahusika vipi na mambo ya ndani, hicho kimalaya cha kidosi yeye ni nani nchi hii?
Mpira ni love, ebu angalia namna wachezaji wa pande mbili waki hug
 
Kwanini kwenye mechi za kawaida zisizo na dalerby hawaingii na hilo likaratasi la GSM uwanjani?
 
Back
Top Bottom