mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Nguvumoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawa tena?naona Wawa hayupo hata bench.
Ila huyu kocha kanuti anampendea nini?
Camera za mchongo.Camera za azam zimeleekezwa kwa mayele tu, ngoja mpira uishe hawata amini
nimefurahi hajampanga Wawa ila kanuti mi ndo naona mzinguaji hata mechi na Red Arrows alionekana kama anapwayaWawa tena?
Huyu amekuwa mzito sana karibia mechi zote za mwishoni alizocheza hakuwa na kiwango kizuri
Joseverest shusha list vikosi vyote hapa mkuu.
Tayari bado cha Yanga coming soon
Kila La Heri Simba Sports ClubNaam wanasimba wote tuwe pamoja hapa leo kuna kitoweo cha swala.
Mshana Jr
Ghazwat
OKW BOBAN SUNZU
ChamasonMorisonBwalyason
BRN
Kalpana
Erythrocyte
This is...
Kijukuu cha ngoyayi
Utopologist
busha
Mbaga III
Simba nguvu moja.
Simba taifa kubwa.
Simba the next level.
HaaSimba ya sasa ni dhaifu sana kuweza kuifunga yanga. Naona yanga akitoka kifua mbele 2-0
Na Simba wameshtukia ngome ya Wawa dhaifu mno keshachoka.nimefurahi hajampanga Wawa ila kanuti mi ndo naona mzinguaji hata mechi na Red Arrows alionekana kama anapwaya
kanoute mi mwenyewe sijapendezewa kumuona ila sijajua kocha kaona kitu gani cha tofauti ambacho anaweza kunufaika nacho kwenye mechi hiinimefurahi hajampanga Wawa ila kanuti mi ndo naona mzinguaji hata mechi na Red Arrows alionekana kama anapwaya
Penati iwe ya halali. Kutokutoa penati ya halali ni kuharibu mpira.Nachoomba leo mechi isiharibiwe na refa , matukio ya penati yawe ya foul za uhakika .
Kuelekea mtanange huu wa watani wa jadi kuna mwana hapa pembeni yuko bwax kalewa muda wowote kuanzia sasa atakata moto.