Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

KILA LA HERI TIMU YANGU YA MOYONI [emoji617]
yangasc-20211211-0001.jpg
 
naona Wawa hayupo hata bench.

Ila huyu kocha kanuti anampendea nini?
Wawa tena?

Huyu amekuwa mzito sana karibia mechi zote za mwishoni alizocheza hakuwa na kiwango kizuri
 
Camera za azam zimeleekezwa kwa mayele tu, ngoja mpira uishe hawata amini
 
Hii mechi inaulozi sana mpaka ndani ya uwanja uku jukwaani watu wanaloga.
 
Wawa tena?

Huyu amekuwa mzito sana karibia mechi zote za mwishoni alizocheza hakuwa na kiwango kizuri
nimefurahi hajampanga Wawa ila kanuti mi ndo naona mzinguaji hata mechi na Red Arrows alionekana kama anapwaya
 
Wanapoelekeza camera kwa kagere lazima waoneshe visigino matata alivyo spin mpaka mpira kuingia kambani

Tofauti kabisa na mayele
 
Na Simba wameshtukia ngome ya Wawa dhaifu mno keshachoka.
Safu ya kiungo ya Yanga ni ngumu Kanouti sina imani nae mwepesi hapo Mazamir angefaa zaidi.
 
Simba leo tunaenda kuzidiwa kiungo sabab ya kocha kumpenda kanoute mtu ambae anakabia macho alafu Yuko slow ,niamin mm tutazidiwa Sana kiungo kwa upande wa leo
 
nimefurahi hajampanga Wawa ila kanuti mi ndo naona mzinguaji hata mechi na Red Arrows alionekana kama anapwaya
kanoute mi mwenyewe sijapendezewa kumuona ila sijajua kocha kaona kitu gani cha tofauti ambacho anaweza kunufaika nacho kwenye mechi hii
 
Naona kuna taarifa mpya CEO wa simba amezuiwa kuingia uwanjani yeye na familia yake

TFF hizi habari zikiwafikia CAF mtajuta
 
Huyu kocha wa simba nae mbabaishaji tu sasa kanoute pale kati wa nini mamaee[emoji35][emoji35]
 
Back
Top Bottom