Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Yanga inapata kona ya kwanza hapa ebu tuone wataitumia vipi hii mipira iliyokufa
 
Yanga wamefanikisha kuzuia shambulio hilo na sasa wako katika low pressure
 
Yanga inapata freekick ambayo nayo imedhibitiwa na simba vile vile
 
Huyu anajiangusha angusha hapa ni nani ebu ngoja nimcheki

Aah juma shabani, sasa si amke mechi iendelee
 
Back
Top Bottom