Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Dilunga ile mijimama ya kinondoni ishammaliza nguvu za miguu matokeo yake anapiga shuti mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwe men of the match kwasababu ni wengiMan of the Match nani kwa upande wako?
Yule mbwa aliye katiza mapema leo kuna namna hapaOgopa sana kuona hadi counter attacks zinakugomea, mayele kapagawa haelewi
Sahihi unaachaje mpa onyango kwa kuzuia mashambulizi yaleIwe men of the match kwasababu ni wengi
Na wote wanatoka kwenye kikosi cha simba hakuna ubishi
Kwangu mimi refaKwangu mimi Kanoute ameupiga mwingi
Amewabeba sanaKwangu mimi refa
Sawa banaYanga akitufunga leo mniite jokate.
Uko sahihi bila kubanwa walikuwa na goli Kuanzia 3Duu kweli uto leo wamebanwa
Taja jina lakeKwangu mimi refa