Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Leo umemwita mayele nyau

Daah kweli kacheza kiwango ambacho kila mtu kafika level ya mwisho ya uvumilivu
Hahahaha leo draw nyau anashangilia kumbe moyoni mlikuwa mnajua tuna waua nyingi
 
Aibuuuu aibuuuu aibuuuuu yenun Topolo fc oooh Simba hii simba hii mbona hamjaifunga sasa hivi mmeshaanza kubwabwaja tena hahaahhaahha
Mbona wewe unafunga si unajinasibu uko kimataifa mbona hamna kitu
 
Mechi ya leo Bernard Morrison alitakiwa apewe red card na lile goli lilokataliwa ni halali.

Yanga leo walikosa match fitness huwezi kukaa wiki mbili bila kucheza, halafu utegemee kuperform, TFF kwenye ratiba zao wana chemka sana, hawaja jifunza mwaka jana kwa Simber Kaizer Chief.
 
Kwangu mimi Kanoute ameupiga mwingi
Watu wengi tulikosa imani naye alipoanza first 11, hapo ndo narejea ile kauli yangu kua sisi mashabiki tumegubikwa na wishfully thinking based on personal experience

Saizi hata akianzisha kikosi B siotakuwa na mashaka naye, hii ndio faida ya kuwa na kocha mwenye CV kubwa
 
Maajabu hayaishi duniani! Yaani Klabu inayoshika " Namba 5 kwa ubora Afrika" inafurahia sare!!
 
Saikolojia inasema Kwamba dalili ya kichaa kuanza kupanda kichwani ni kushabikia timu ya simba. Yaani mwanaume uliekamilika wa mkoani unashabikiaje simba kwa mfano

Mbumbumbu hao mkuu
Hayo ni maneno tuu hata kwny khanga yapo..pale unaposhabikia timu ilokosa ubingwa mara nne 4 mfululizo kama wamepungukiwa nguvu za kiume vile ni ujinga. Mimi najivunia kuwa mshabiki wa Simbaaa.
 
Hayo ni maneno tuu hata kwny khanga yapo..pale unaposhabikia timu ilokosa ubingwa mara nne 4 mfululizo kama wamepungukiwa nguvu za kiume vile ni ujinga. Mimi najivunia kuwa mshabiki wa Simbaaa.
Sasa mbona unaleta utani wa kweli we kolo
 
Maajabu hayaishi duniani! Yaani Klabu inayoshika " Namba 5 kwa ubora Afrika" inafurahia sare!!
Tunawashangaa nyie ambao mlijitanabaisha kuwa simba mtaifunga mbona hamjaifunga sasa maana mlikua na mbwembwe ooh kwa simba hii tutajizolea magoli kiko wapiii. Simba is anaza my bro
 
Mechi ya leo Bernard Morrison alitakiwa apewe red card na lile goli lilokataliwa ni halali.

Yanga leo walikosa match fitness huwezi kukaa wiki mbili bila kucheza, halafu utegemee kuperform, TFF kwenye ratiba zao wana chemka sana, hawaja jifunza mwaka jana kwa Simber Kaizer Chief.

Sasa kazi ya beki ni nini?

We ubnafikiri onyango utafananisha na lile shati mnaliita Aucho?
Huwezi fananisha kamwe Onyango hafiki hata leo hajafanya ku kaba ni vile Mayele anateleza anachukua mpira sio kukaba vile
 
Back
Top Bottom